Posted on: August 18th, 2020
Katibu tawala wa Mkoa wa Iringa, Bi. Happiness Seneda jana alifanya kikao na watumishi wa Manispaa ya Iringa na kuzungumza nao masuala mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero zao.
Akizung...
Posted on: August 13th, 2020
Mganga mkuu wa Manispaa ya Iringa Dr.Jesca Lebba amewataka wanawake vinara wa lishe kuhakikisha wanatoa Elimu ya mlo kamili
ili Kuketa mabadiliko katika jamii.
Dr.Lebba ameyasema hayo leo ...
Posted on: August 12th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Ally Hapi, amefanya ziara ya Kutembelea,kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye baadhi ya miradi iliyopo Halimashauri ya Manispaa ya Iringa.
Miradi iliyowekwa mawe ya msi...