Posted on: September 14th, 2020
Ofisi ya maendeleo ya jamii Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imetoa mafunzo ya uongozi bora kwa vikundi vya vijana vinavyonufaika na mkopo kutoka katika Manispaa hiyo.
Mafunzo hayo yamefanyika leo...
Posted on: September 9th, 2020
Timu ya Menejimenti (CMT) - Manispaa ya Iringa ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Ndugu. Omary Mkangama imefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa
Ziara hi...
Posted on: August 25th, 2020
Msimamamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa mjini Hamid Njovu leo amewathibitisha wagombea 11 kugombea ubunge katika jimbo hilo isipokuwa mgombea mmoja ambaye hajakidhi vigezo vya tume ya uchaguzi.
...