Posted on: September 19th, 2020
Katika kuadhimisha siku ya usafi duniani wafanyakazi wa Manispaa ya Iringa pamoja na wadau mbalimbali wa mazingira Wamefanya usafi katika hospitali ya wilaya Frelimo.
Akizungumza katika tukio hilo ...
Posted on: September 18th, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Mifugo na Uvuvi leo imefanya kikao cha tathimini ya mwenendo wa maadhimisho ya NaneNane kwa mwaka 2020 ambayo kwa nyanda za juu kusini zilifanyika Mk...
Posted on: September 17th, 2020
"Serikali yetu kupitia Mh. Rais Magufuli inawajali sana makundi ya Vijana, Wanawake na hata kundi la watu wenye mahitaji maalumu, ndio maana imekuwa ikitoa asilimia 10% kutoka mapato ya kila Halmashau...