Posted on: December 5th, 2020
Katibu mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga amekabidhi jumla ya Tshs Milioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa uzio kwenye shule ya wasichana ya Iringa.
Mhandisi Nyamhanga am...
Posted on: December 4th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela amewataka viongozi wapya wa bodi ya huduma za Afya ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kutimiza wajibu wao kwa kutatua changamoto zilizopo katika sekta hi...
Posted on: December 1st, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana na chuo kikuu cha RUCU leo 1/12/2020 wameadhimisha siku ya Ukimwi Duniani katika viwanja vya chuo kikuu hicho ambapo mgeni rasmi katika Maadhim...