Posted on: May 10th, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amekabidhi cheti pamoja na zawadi ya fedha Tsh. Milioni moja kwa Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa...
Posted on: April 5th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James ametoa wito kwa wafanyabiashara wadogo (Machinga) kuwa na umoja ili kuepuka makundi yanayoathiri malengo ya biashara.
Ameyasema hayo, akiwa kwenye mkutano ...