Posted on: January 27th, 2022
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ameiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupanda miti ya matunda mashuleni na vyuoni ikiwa...
Posted on: January 26th, 2022
Na Mwandishi Wetu,Iringa
HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa Mkoani hapa imeshika nafasi ya pili kitaifa katika mashindano ya usafi wa mazingira kwa mwaka 2021.
Hayo yameelezwa leo (Januari 26) na...
Posted on: January 19th, 2022
Wananchi wa Manispaa ya Iringa wametakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa kuhakikisha wanapanda miti katika kila maeneo wanayoishi.
Hayo yamesemwa leo Januari 19. 2022 na Mstahiki Meya wa Manispaa ...