Posted on: August 28th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Halima Dendego amefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi itakayo kaguliwa,zinduliwa na kuwekewa jiwe la msingi na Mwenge wa Uhuru septemba 3. 2022 katika Halmashauri ...
Posted on: August 25th, 2022
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa leo tarehe 25/8/2022 limempitisha Mhe. Juli Sawani ambaye ni Diwani wa Kata ya Kihesa kuwa Naibu Meya wa Manispaa kwa mwaka mpya 2022/2023
...
Posted on: August 17th, 2022
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mhe.Ibrahim Ngwada ameyataja mafanikio na ubora wa miradi mbalimbali iliyotekelezwa ndani ya Manispaa ya Iringa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 hu...