Posted on: February 3rd, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Halima Dendego leo Marchi 3 2023 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt.Linda Paniel Selekwa.
Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Masiti uliopo Kata ya Gangil...
Posted on: January 10th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego amewataka Meneja wa TANROADS na TARURA kuongeza usimamizi kwa wakandarasi wanaopewa kazi za matengenezo au ukarabati wa barabara.
Amesema wakati mwingine ...
Posted on: December 13th, 2022
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe Ibrahim Ngwada amekutana na watumishi wa ofisi kuu katika ukumbi wa Mikutano wa Manispaa kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi.
...