Posted on: November 14th, 2023
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mhe. Ibrahim Ngwada amewataka watendaji kuhudhuria vikao kwa lengo la kutatua changamoto zilizopo katika Kata.
Ngwada amesema hayo katika Mkutano ...
Posted on: November 13th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ndg. Kastori Msigala amewataka wasimamizi wa miradi kuhakikisha wanasimamia ipasavyo miradi hiyo ili iweze kukamilika kwa wakati.
Msigala amesema hay...
Posted on: November 6th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ndg. Kastori Msigala amewataka watendaji wa Kata na Mitaa kutimiza wajibu wao kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha Manispaa inapata Maendeleo.
...