Posted on: March 1st, 2018
Kupitia kampeni ya nyumba ni choo wadau wa maendeleo Clouds Media kwenye kipindi cha XXL kwa kushirikiana na Smart fresh Toilet (SATO ) wametengeneza Masinki ishirini na tano (25) ya vyoo katika Shule...
Posted on: March 1st, 2018
“ Ni marufuku watendaji wa Kata na Mitaa katika Manispaa ya Iringa kujihusisha na uuzwaji wa viwanja katika maeneo yenu au kuwa mashahidi ili kuepuka migogoro ya ardhi katika maeneo yenu.” Kauli hiyo ...
Posted on: February 22nd, 2018
Manispaa ya Iringa kwa mwaka wa fedha 2017/ 2018 imechangia kiasi cha Shilingi Milioni 123,173,750/= kwa ajili ya kuendeleza Miradi ya Maendeleo kwa ngazi ya Kata ambapo jumla ya Kata 15 zime...