Posted on: October 11th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela amewataka watoto wa kike kujitambua na kupata elimu ya ufahamu wa maumbile yao ili kuepuka maambukizi ya virusi vya U...
Posted on: October 10th, 2018
Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Ndugu Hamid Njovu amekabidhi pikipiki 16 kwa maafisa elimu Kata wa Kata kumi na sita za kielimu zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.
Akikabidhi pikipi...
Posted on: October 9th, 2018
“Walimu wakitumiwa vizuri wanaweza kuleta tija.”
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa ndugu, Hashim Komba katika uzinduzi wa Jukwaa la Walimu wazalendo liliozinduliwa ...