Posted on: October 15th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Kasesela amewataka Wananchi wote wa Manispaa ya Iringa kumuenzi baba wa taifa hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere kwa vitendo ili kudumisha amani na mshikam...
Posted on: October 12th, 2018
Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa Ndugu Hashim Komba amewataka wazazi na walimu kuwafundisha wanafunzi uzalendo wa Nchi yao ili kujenga taifa lenye umoja ,upendo...