Posted on: January 28th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Kasesera amezindua rasmi wiki ya upandaji miti kiwilaya, ambapo amewataka wakazi wote wa Manispaa ya Iringa kuhakikisha wanaitunza.
Aid...
Posted on: January 22nd, 2019
Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Ndg. Hamid Njovu amewapokea watu wenye ulemavu wa viungo 10 waliotokea Jijini Dar es salaam kupatiwa viungo vya bandia kwa ajili ya kuwasaidia katika kutekeleza ...
Posted on: January 14th, 2019
Diwani wa Kata ya Kihesa July Sawan amewataka wakazi wa kata ya kihesa kushiriki maendeleo ya kielimu kwa kujitokeza kwa wingi katika mikutano ya hadhara ya kata inayaitishwa na kushirikiana kwa...