Posted on: May 21st, 2019
"Maombi yenu yote nimeyachukua na naahidi kuyafanyia kazi ndani ya miezi miezi miwili, likiwemo suala la malimbikizo ya fedha za likizo na on call allowance."
Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi wa ...
Posted on: May 20th, 2019
Ziara ya kamati ya Fedha na Uongozi inayoongozwa na Meya wa Manispaa ya Iringa Mheshimiwa Allex Kimbe imefanya ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa chini ya kamati hiyo
...
Posted on: May 17th, 2019
Timu ya Secretarieti ya Mkoa ikiongozwa na Nuhu Mwasumile imeridhishwa na ubora wa jengo la Maabara na jengo la Miyonzi yanayojengwa Hospitali ya Flerimo iliyopo Manispaa ya Iringa katika ziara ...