Posted on: June 13th, 2019
Timu ya Menejimenti Manispaa ya Iringa inayoongozwa na Kaimu mkurugenzi ndugu Omary Mkangama imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika mwaka wa fedha 2018/2019.
katika zia...
Posted on: June 12th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Iringa kuingiza mabasi Stendi ya Igumbilo ifikapo mwezi Julai mwaka huu.
Mheshimiwa Hapi ametoa agizo hilo katika ziara ...
Posted on: May 27th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mheshiwa Ally Hapi ameipongeza Halmashauri ya manispaa ya Iringa kwa kupata hati safi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali zinazoishia tarehe 30/06/2018 kwa mara ya tatu ...