Posted on: July 18th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Iringa mheshimiwa Ally Hapi amezindua rasmi huduma za stendi ya mabasi ya Igumbilo ambapo amewataka wamiliki wote wa mabasi na wadau wa usafirishaji kuhamishia huduma zote ...
Posted on: July 18th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi amefanya mkutano na wadau mbalimbali wa usafirishaji pamoja na wananchi katika stendi ya mabasi Iringa ambapo amewataka kuchamkia fursa zilizopo katika sten...
Posted on: July 15th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Kasesela amezindua rasmi maonyesho ya bidhaa za wakulima na wafugaji kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally hapi ambapo Kimkoa yanafanyika kati...