Posted on: November 14th, 2019
Baraza la Madiwani La Halmashauri ya Manispaa ya Iringa limekaa kikao cha kupokea Taarifa za kata kwa robo ya kwanza mwaka wa fedha 2019/2020 siku ya Alhamisi Tarehe 14.11.2019 katika ukumbi wa ...
Posted on: November 12th, 2019
Kamati ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imetembelea na kukagua Miradi Minne ya Maendeleo ambayo ni, Stendi ya Kisasa ya Mabasi Igumbilo, Ujenzi wa Soko la Mlandege ,Ujenzi wa v...
Posted on: November 7th, 2019
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Afya kwa kushilikiana na Taasisi ya APHFTA inayo husika na Uratibu wa Vituo binafsi vinavyotoa Huduma za Afya Nchini imeanda kikao cha kusainishana M...