Posted on: February 5th, 2020
Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Chama cha Mapinduzi leo imehitimisha ziara yake ya kukagua Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.
Aidha katika ziara hiyo Miradi...
Posted on: January 31st, 2020
‘’Niwapongeze Wananchi wote wa Kata ya Isakalilo kwa kujitokeza kwa wingi na pia idara ya Mipango Miji kwa kuendeleza kampeni ya kupanda Miti katika mipaka ya Manispaa yetu ya Iringa “
Kauli hiyo i...
Posted on: January 30th, 2020
“Nawaomba Wananchi wa Manispaa ya Iringa kuendelea kuweka Mazingira safi na pia kupiga vita swala la Ukatili kwa Watoto”
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe.Ally Hapi katika Ziara yake ...