Posted on: March 5th, 2020
Umoja wa Wanawake wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wametembelea wafungwa wanawake waliopo katika Gereza la Iringa siku ya leo na kutoa misaada ya vitu mbalimbali...
Posted on: March 5th, 2020
"Natoa rai kwa Wanawake wenzangu tujiunge katika vikundi vya ujasiriamali na kuomba mikopo kupitia ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa"
Ni kauli iliyotolewa na Ester Dungumaro Mkuu wa Chuo Kikuu Kishir...
Posted on: March 3rd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Ally Hapi amefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi ya minne (4) ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Iringa.
Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa ni Shule Msingi Hoho, ...