Posted on: July 9th, 2020
"Angalieni namna ya kuwagawia wafungwa waliopo Iringa Manispaa,na Halmashauri ya wilaya ya Iringa vyandarua ili kuwakinga na ugonjwa wa malaria."
Kauli hiyo imetolewa leo na mkuu wa Wilaya...
Posted on: July 9th, 2020
"Muwe makini katika malezi ya watoto wetu kwani taifa linawategemea hasa katika kuwaepusha na ukatili dhidi yao. Hivyo tujitahidi kutoa Elimu ushauri hata mapendekezo Ili kuona maisha ya watoto wetu n...
Posted on: July 8th, 2020
Mwenyekiti wa chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa ndugu Abel Nyamahanga amekemea vikali tabia ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya ubunge kupitia chama hicho kujipitisha kwa wanachama na kuto...