• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

WANANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA

Posted on: January 19th, 2022

Wananchi wa Manispaa ya Iringa wametakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa kuhakikisha wanapanda miti katika kila maeneo wanayoishi.

Hayo yamesemwa leo Januari 19. 2022 na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa  Mhe. Ibrahim Ngwada katika  uzinduzi wa upandaji miti kiwilaya uliofanyika katika shule ya msingi Nyumbatatu iliyopo Kata ya Ilala.

Aidha zoezi hilo limehusisha washiriki mbalimbali wakiwemo wadau wa mazingira Envibright, Chuo kikuu Katoliki Ruaha, Madiwani na wananchi, ambao kwa umoja wao walijitokeza kupanda miti kwenye maeneo mbalimbali  ya shule hiyo .

"Niwapongeze wadau wa usafi kwa ushiriki wa zoezi la leo na ninaahidi kutoa ushirikiano mimi na Madiwani wenzangu pale mtakapotuhitaji katika suala lolote la utunzaji  wa mazingira" Mhe Ngwada alisema

Hata hivyo Mh. Ngwada amemtaka Mkurugenzi kutoa ushirikiano kwa wadau wa mazingira na kuendelea kusambaza miti katika maeneo yote ya Manispaa zikiwa ni jitihada za kutunza mazingira

Naye Mhe. Conrad  Mlowe ambaye ni Diwani wa kata ya Ilala ambapo shule ya Msingi Nyumbatatu ilipo amemshukuru Meya wa Manispaa pamoja na wadau wa mazingira kushiriki katika zoezi hilo na kuahidi miti waliyoipanda wataitunza ipasavyo.

Awali akiongea mbele ya mgeni rasmi Prof Pius Mgeni, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha(RUCU) amewataka wananchi kujenga tabia ya kukata mti na kupanda mti kwani kwa kufanya hivyo wataweza kurithisha vizazi vijavyo Dunia yenye mazingira safi .

Katika zoezi hilo la upandaji wa miti jumla ya miche 100 ya matunda ya parachichi ilipandwa ambapo wanachi waliojitokeza  walipewa kila mmoja mche mmoja kwa ajili ya kupanda katika maeneo yao wanayoishi.

Matangazo

  • MAJIA YA WALIOITWA KWENYE USAHILI, KAZI YA ANWANI ZA MAKAZI {IMC} TAREHE: 02.04.2022 April 01, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • IMC. MIRADI YA UVIKO HADI TAREHE. 3 JAN 2022 PDF January 04, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • RC - IRINGA AZINDUA KAMPENI YA CHANJO YA POLIO KWA WATOTO

    May 18, 2022
  • WANAWAKE PAMBANENI NA CHANGAMOTO KUFIKIA MAENDELEO.-MKUU WA MKOA IRINGA

    March 15, 2022
  • Umoja wa SACCOS Tz Wakutana Mkutano Wa Tatu Mkoani Iringa

    March 15, 2022
  • RC IRINGA ATOA MAAMUZI SAKATA LA MACHINGA KUHAMIA MAKABURI YA MLANDEGE

    February 21, 2022
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa