• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

DC .MOYO ATOA SIKU 14 UKAMILISHAJI UJENZI WA MADARASA

Posted on: November 26th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe.Mohamed Moyo ametoa siku 14 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kumkabidhi majengo 45 ya Madarasa yanayojengwa kupitia fedha za Ruzuku ya Serikali.

Mhe Moyo meyasema hayo leo tarehe 24/11/2022 wakati wa ziara yake ya kukagua miradi hiyo na kutoridhishwa na hatua zilizofikiwa kwenye baadhi ya madarasa ambayo yalianza kujengwa mwezi October mwaka huu.

Moyo amesema wataalamu wazingatie ubora wa majengo wanayojenga ukilinganisha na thamani ya fedha waliyopewa kutekeleza miradi hiyo.

Akikagua ujenzi huo amewataka wakuu wa Shule na watendaji wa kata kuwashirikisha Madiwani na wanachi katika hatua mbalimbali za ujenzi kwani miradi hiyo ni ya wananchi hivyo wanapaswa kufahamu kila hatua.

'Nasema hivi washirikisheni Madiwani wenu maendeleo ya ujenzi kila wiki wapate taarifa tunaelewana?alihoji Moyo'

Aidha Moyo amemtaka Mkurugenzi kujipanga vyema kuhakikisha vyumba vyote vinakamilika kwa wakati huku kila darasa likiwa na Viti na Meza tayari kwa ajili ya kutumiwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023.

Dr.Stephen Ngwale ni kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Iringa amesema amepokea maagizo ya Mkuu wa Wilaya na kuwa atatekeleza maagizo hayo kwa wakati.

Halmashauri ya Manispaa   ya Iringa ilipokea fedha kiasi cha sh.milioni mia tisa  zilizotolewa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 45 vya madarasa yatakayomaliza tatizo la upungufu wa madarasa kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza Manispaa ya Iringa kwa mwaka 2023.

Tupe Kayinga ni Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Iringa anamshukuru Rais wa awamu ya sita  Mhe Samia Suluhu kwa kifungua pochi na kutupa fedha za madarasa.

Ziara hiyo ya siku moja ilihudhuriwa na Wakuu wa Sehemu na vitengo,viongozi wa CCM ngazi ya kata,waheshimiwa Madiwani ,watendaji wa Kata na maafisa Maendeleo ya jamii wa kata.

Imetolewa na Kitengo cha mawasiliano Serikalini-Manispaa ya Iringa.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 - MANISPAA YA IRINGA December 11, 2022
  • TANGAZO MUHIMU.. January 02, 2023
  • TANGAZO MUHIMU... January 09, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • DKT. LINDA AAPISHWA DC MUFINDI

    February 03, 2023
  • RC DENDEGO AWAAGIZA MENEJA WA TANROADS NA TARURA KUONGEZA USMAMIZI NA UFATILIAJI KWA WAKANDARASI

    January 10, 2023
  • MEYA NGWADA ASIKILIZA KERO ZA WATUMISHI MANISPAA YA IRINGA

    December 13, 2022
  • MEYA NGWADA ASIKILIZA KERO ZA WATUMISHI MANISPAA YA IRINGA

    December 13, 2022
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa