• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

DC MOYO APONGEZA PHC UYEKELEZAJI KAMPENI ZA CHANJO YA POLIO-MANISPAA IRINGA

Posted on: December 29th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe.Mohamed Moyo amewapongeza Idara ya afya kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuhamasisha jamii kujitokeza kwa wingi katika chanjo mbalimbali zinazotolewa kwa watoto .

Moyo ametoa pongezi hizo katika kikao cha kamati ya Afya ya msingi (PHC) kilichofanyika leo Novemba 29 katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa.

'Nawapongeza sana Idara ya Afya Manispaa kwa kazi kubwa na nzuri mnayoifanya ya utekelezaji wa kampemi mbalimbali kama ugawaji dawa kinga za minyoo na kichocho na chanjo ya matone kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mi 5  mmekuwa mkinialika kuzindua kampeni mbalimbali hakika naona muitikio wa jamii unakuwa mkubwa,alisema Moyo.

Juhudi zenu zina manufaa kwa wakazi wa Manispa na Taifa kwa ujumla kwani mnaokoa nguvu kazi ya Taifa la kesho.

Awali akitoa mada katika kikao hicho Mratibu wa Chanjo Manispaa ya Iringa Ndg.Hamis Omary amesema  Halmashauri ya Manispaa ya Iringa inaungana na Halmashauri zingine nchini kutekeleza awamu ya nne (4) ya utoaji wa chanjo ya polio ya matone kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 itakayofqnyika kuanzia tarehe 1 hadi 4 Disemba.

Omary amesema lengo la kampeni ya kitaifa ya chanjo ya matone ya polio ni kuhakikisha wanazuia uingizwaji wa ugonjwa wa polio nchini kulingana na mlipuko uliotokea nchi za Malawi na Msumbiji.

Amesema ili kufanikisha lengo hili ni muhimu kutoa kinga ya polio kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mi 5.

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Iringa Dr.Godfrey Mbangali amesema awali Halmashauri imetekeleza kampeni ya utekelezaji wa chanjo kwa awamu mbili .

Amesema matokeo ya kampeni ya awamu ya pili iliyotekelezwa mwezi Mei 2022 walilenga kuchanja 23.675 na waliochanjwa walikuwa 29.887 sawa na asilimia 126.2 ambapo awamu ya tatu iliyotekelezwa Agosti 2022  walengwa walikuwa 30,781 waliochanjwa 35,880 sawa na asilimia 116.6

Kikao hicho cha kamati ya Afya yamsingi kilihudhuriwa na wajumbe ambao ni kamati ya ulinzi na usalama Wilaya, wakuu wa Sehemu na Vitengo,,baadhi ya Madiwani, Viongozi wa dini na watu maarufu.

Imetolewa na kitengo cha Mawasiliano Serikalini -Iringa Mc

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 - MANISPAA YA IRINGA December 11, 2022
  • TANGAZO MUHIMU.. January 02, 2023
  • TANGAZO MUHIMU... January 09, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • DKT. LINDA AAPISHWA DC MUFINDI

    February 03, 2023
  • RC DENDEGO AWAAGIZA MENEJA WA TANROADS NA TARURA KUONGEZA USMAMIZI NA UFATILIAJI KWA WAKANDARASI

    January 10, 2023
  • MEYA NGWADA ASIKILIZA KERO ZA WATUMISHI MANISPAA YA IRINGA

    December 13, 2022
  • MEYA NGWADA ASIKILIZA KERO ZA WATUMISHI MANISPAA YA IRINGA

    December 13, 2022
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa