• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Kilimo Umwagiliaji na Ushirika

IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA


UTANGULIZI 

Idara ya kilimo umwagiliaji na Ushirika ni moja kati ya Idara muhimu ndani ya Manispaa ya Iringa,pia ni  moja kati ya idara 13 na Vitenga 6 vinavyounda  Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Aidha Idara hii ina jumla ya Vitengo 3 ambavyo ni kitengo cha Kilimo, kitengo cha Umwagiliaji na kitengo cha Ushirika.

Idadi ya Watumishi 

  • Kitengo cha Kilimo kina Watumishi 23
  • Kitengo cha umwagiliaji hakina watumishi
  • Kitengo cha Ushirika kina Watumishi 02

                                                Jumla 25 

 

Majukumu ya Idara 

Idara ina majukumu mbalimbali ikiwemo 

  • Kutoa Ushauri na Mafunzo kwa Wakulima juu ya Kilimo Bora na Mazao
  • Kufundisha na kushauri juu ya hifadhi bora ya Chakula ngazi ya Kaya
  • Kukusanya Takwimu za Mvua, kutambua visumbufu vya mimea, kutabiri matukio ya hatari kwenye mimea na namna kukabiliana nayo
  • Kusimamia uboreshaji na ukarabati wa miundombinu ya kilimo na umwagiliaji
  • Kuhamasisha uanzisahaji na kuimarisha vyama vya ushirika
  • Kuhamasisha na kuongeza idadi ya wanachama wa vyama vya ushirika
  • Kuhamasisha kuongeaza hisa akiba na amana
  • Kukagua na kutoa mafunzo ya uandishi wa vitabu vya hesabu katika vyama vya ushirika.

 

Mafanikio ya Idara 

  • Ongezeko la uanzishaji wa mazao mfano mahindi toka tani1 hadi tani 2.7 kwa hekta.
  • Ongezeko la wataalamu wa Kilimo kutoka 14 (2010-2011) hadi 23 (2015-2016).
  • Wananchi kuhamasika na na kuanzisha vyama vya Akiba mikopo pamoja na AMCOS.
  • Vyama 10 vimeweza kukopeshana kwa kutumia mtaji wake kati ya vyama 48.
  • Vtama 11 vimeweza kujiajiri watendaji wenye sifa kati ya vyama 48.

Mpango mkakati wa Idara  

  • Kuendelea Kuhamasisha, kutoa elimu juu ya ushirikakukagua vyama vya Ushirika katika Manispaa ya Iringa 
  • Kuendelea kuhamasisha wadau mbalimbali kuchochea usindikaji wa masoko ya mazao ya kilimo
  • Kuendeleza elimu ya matumizi sahihi  ya pembejeo bora za kilimo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JUNI 27.2022 June 27, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA STENDI YA IGUMBILO March 10, 2022
  • TANGAZO LA KAZI MANISPAA YA IRINGA 30.05.2022 May 30, 2022
  • IMC. MIRADI YA UVIKO HADI TAREHE. 3 JAN 2022 PDF January 04, 2022
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • TOENI TAARIFA KWA WANACHI SERIKALI INAVYOTOA FEDDHA ZA MIRADI- MHE.BASHUNGWA

    July 02, 2022
  • KATIBU TAWALA MKOA AWAPA SOMO MENEJIMENTI-MANISPAA IRINGA

    June 24, 2022
  • MANISPAA YA IRINGA YANG'ARA UPATAJI WA HATI SAFI

    June 18, 2022
  • MANISPAA YA IRINGA YATOA MIKOPO YA TSH 184,753,000/=,PIKIPIKI NA BAJAJI KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    June 15, 2022
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa