• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

Miradi iliyoidhinishwa

HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

YALIYOMO

UTANGULIZI

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika utayarishaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka 2021/2022 imezingatia Sera na Miongozo mbalimbali kama ifuatavyo;

  • Sheria ya Bajeti Na. 11 ya mwaka 2015
  • Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26
  • Ilani ya CCM ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
  • Malengo ya maendeleo endelevu 2030
  • Mpango shirikishi Jamii (O&OD)

VIPAUMBELE VYA MWAKA 2021/22

  • Ukamilishaji wa Miradi viporo/miradi ambayo haijakamilika
  • Ukamilishaji wa shule mpya ya sekodari ya Igumbilo na isakalilo
  • Uendelezaji wa ujenzi wa shule ya Msingi - Kipululu
  • Ukamilishaji wa Maabara katika shule za sekondari na Ujenzi wa madarasa na vyoo katika shule za sekondari na msingi
  • Kuendelea na utekelezaji wa miradi ya Kimkakati kwa ajili ya kuisaidia manispaa katika kuongeza vyanzo vya mapato
  • Ujenzi wa jengo la Kitega uchumi eneo la Tembo bar- Maduka na hotel
  • Ujenzi/uboreshaji wa ukumbi wa Welfare Kitanzini
  • Kuimarisha sekta ya Afya kwa kujenga wodi ya wagonjwa katika hospitali ya frelimo na ukamilishaji wa kituo cha Afya Mkimbizi
  • Kuwajengea wananchi uwezo wa kiuchumi kwa kuimarisha mfuko wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu
  • Ujenzi wa shule mpya ya Mchepuo wa Kiingerza ‘English Medium’ – Block J’ Kitwiru
  • Uanzishwaji wa Mradi wa samaki katika bwawa la kihesa kilolo
  • Uendelezaji wa eneo la utalii Tungamalenga

MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/22

Katika mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri inakadiria kukusanya, kupokea na kutumia kiasi cha TZS 34,334,099,997/= kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali katika utoaji wa huduma na Maendeleo. kati ya fedha hizo TZS 25,489,288,000/=ni kwa ajili ya ulipaji wa Mishahara, TZS 1,043,986,000/= ni Ruzuku Matumizi Mengineyo, TZS 3,444,621,172/= ni kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na TZS 4,356,204,825/= ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani.

Mchanganuo wa mapato kwa kila chanzo cha fedha umeainishwa katika Jedwali Na. 3

Jedwali Na. 3 Makisio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022

NA

AINA YA MATUMIZI

KIASI

1

Mishahara

25,489,288,000

2

Matumizi Mengineyo

1,043,986,000

3

Miradi ya Maendeleo

3,444,621,172

4

Mapato ya Ndani

4,356,204,825

 

JUMLA KUU

34,334,099,997

Jedwali Na. 3.1 Makisio ya Makusanyo ya Mapato ya Ndani

KASIMA

AINA YA MATUMIZI

MAKISIO KWA MWAKA 2021/22


1. MAPATO YA NDANI


1.1 MAPATO HALISI (Own source Proper)

110851
Ushuru wa huduma

788,400,000

140383
Adhabu ya ukiukaji wa sheria

15,000,000

140505
Mapato mengineyo (vitabu,

15,980,000

140410
Uuzaji wa viwanja

150,000,000

140292
Ushuru wa soko

310,000,000

140370
Leseni za pombe za kigeni/Vileo

32,466,000

140371
Leseni za biashara

348,848,000

140349
Ushuru wa machinjio

60,116,000

140394
Ada ya usafi wa mazingira

120,000,000

140393
Ushuru wa stand

376,020,000

140407
Mapato yatokanayo na Ukodishaji wa Mali za Manispaa

539,468,000

110852
Ushuru wa  malazi

110,000,000

140318
Ada ya maombi ya viwanja

20,000,000

140289
Ada ya upimaji viwanja

10,000,000

140380
Vibali za ujenzi

20,000,000

140375
Ushuru wa matofali,Mchanga na mawe

15,000,000

140379
Ada ya uzio

5,000,000

140283
Ada ya zabuni

2,000,000

140376
Ada ya misitu

50,000,000

 
JUMLA MAPATO HALISI (Own source Proper)

2,988,298,000


1.2 MAPATO YA UCHANGIAJI WA HUDUMA

140399
Bima ya Afya - NHIF

258,251,529

140399
Mfuko wa Afya ya Jamii - CHF

41,357,296

140399
Malipo ya Papo kwa papo – USER FEE

453,226,000

140505
Ada za shule Kidato cha tano na sita

248,860,000


Michango ya shule ya Mapinduzi

366,212,000


JUMLA UCHANGIAJI WA HUDUMA

1,368,906,825

 
JUMLA MAPATO YA NDANI

4,357,204,825

Jedwali Na. 3.2 Makisio ya Mishahara kwa Idara

FUNGU

IDARA

KIASI

500

Utawala

2,916,228,763

505

Kilimo na Mifugo

455,628,000

507

Elimu Msingi

8,543,111,083

508

Afya

4,392,809,071

509

Elimu Sekondari

9,045,839,083

511

Ujenzi

135,672,000

 

JUMLA MISHAHARA

25,489,288,000

 

 

 

 

 

 

Jedwali Na. 3.3 Makisio ya Ruzuku ya Matumizi Mengineyo- OC GRANTS

NA

FUNGU

IDARA

KIASI

1

500

Utumishi

57,789,000

2

501

Usafi na Mazingira

15,000,000

3

502

Biashara

14,000,000

4

503

Mipango

20,101,000

5

505

Kilimo na Mifugo

12,333,000

6

507

Elimu Msingi

307,409,000

7

508

Afya

172,700,000

8

509

Elimu Sekondari

392,117,000

9

511

Ujenzi

13,537,000

10

512

Ardhi na Maliasili

14,000,000

11

515

Ukaguzi wa Ndani

15,000,000

12

527

Maendeleo ya Jamii

10,000,000

 
 
JUMLA MISHAHARA

1,043,986,000

   

Jedwali Na. 3.4 Makisio ya Ruzuku ya Matumizi Mengineyo- Mapato ya Ndani

NA

IDARA

KIASI

1

Utumishi

937,678,051

2

Usafi na Mazingira

149,641,000

3

Fedha na Biashara

70,000,000

4

Mipango

178,659,749

5

Kilimo na Ushirika

35,000,000

6

Mifugo

30,000,000

7

Elimu Msingi

20,000,000

8

Afya

55,000,000

9

Elimu Sekondari

20,000,000

10

Ujenzi

30,000,000

11

Ardhi na Maliasili

70,000,000

12

Ukaguzi wa Ndani

30,000,000

13

Maendeleo ya Jamii

60,000,000

14

Uchaguzi

            17,000,000

15

Sheria

            30,000,000

16

Ugavi na Manunuzi

            30,000,000

17

Tehama

            30,000,000

 
JUMLA OC- MAPATO YA NDANI

1,792,978,800

Jedwali Na 3.5 Makisio ya Fedha za Maendeleo

NA

FUNGU

Idara

JINA LA MRADI

KIASI

1

6209

Mipango
Mfuko wa Jimbo - CDCF

36,310,000

2

4322

Elimu Msingi
Elimu bila malipo shule za msingi

411,630,000

3

4323

Elimu Sekondari
Elimu bila malipo shule za sekondari

1,160,990,000

4

6517

Afya
Unicef

149,051,000

5

5421

Afya
Mfuko wa pamoja wa afya - HSBF

270,394,000

6

5417

Afya
Mradi wa kukamilisha zahanati (02)

100,000,000

7

5417

Elimu Msingi
Miradi ya miundombinu ya elimu (maboma)

112,517,172

8

5417

Elimu Msingi
Mradi wa kukamilisha miundombinu S/M(P4R FOREIGN)

200,000,000

9

5417

Elimu Sekondari
Mradi wa kukamilisha miundombinu S/S(P4R FOREIGN)

200,000,000

10

5417

Elimu Sekondari
Mradi wa kukamilisha maabara

180,000,000

11

6220

Maendeleo ya Jamii
Mradi wa kusaidia kaya masikini (TASAF)

582,677,000

12

5022

Maendeleo ya Jamii
Mradi wa ukimwi (Global Fund)

1,668,000

13

5022

Afya
Mradi wa malaria (Global Fund)

2,384,000

14

5023

Afya
Mradi wa usafi na mazingira (SRWSS) - wash

37,000,000

 

 

 
JUMLA MIRADI YA MAENDELEO

3,444,621,172

HITIMISHO

  • Nawasilishwa Michanganuo ifuatayo kwa ufafanuzi na rejea zaidi
  • Kiambatisho 1: Mchanganuo wa shughuli za Maendeleo kwa kila chanzo cha fedha na kila Idara

.Naomba kuwasilisha,

………………………….

Herbert Bilia

K.N.Y MKURUNGENZI WA MANISPAA

HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

                     


Kiambatisho 2: MCHANGANUO WA MIRADI YA MAENDELEO

  • MIRADI YA MAPATO YA NDANI

NA

IDARA

JINA LA MRADI

KIASI

1

ELIMU MSINGI

Ujenzi wa Vyoo katika shule za msingi

49,000,000

2

 

Ukamilishaji na ujenzi wa Madarasa 15 katika shule za Msingi mawelewele, kilongayena, mnazimmoja, umoja, mkoga, Maendeleo, kigamboni, Njiapanda, chemchem

70,000,000

3

 

Ukamilishaji wa Nyumba za Walimu Shule za Msingi hoho, kigonzile, Mlangali

40,000,000

4

 

Uendelezaji wa ujenzi wa  Shule mpya Kipululu

20,000,000

5

 

Umaliziaji wa Jengo la Awali Mtaa wa Mahagi.

5,000,000

6

 

Utengenezaji wa madawati kwa shule za msingi

5,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

189,000,000

7

ELIMU SEKONDARI

Umaliziaji wa bwalo katika Shule ya sekondari Tagamenda na Mawelewele

50,000,000

8

 

Umaliziaji wa Madarasa katika Shule za Sekondari mivinjeni, Igumbilo, Umoja na Isakalilo

40,000,000

9

 

Umaliziaji wa Maabara katika shule za sekondari Mivinjeni, Nduli

40,000,000

10

 

Ujenzi wa Hosteli  katika shule sekondari nduli

30,000,000

11

 

Ujenzi wa Vyoo katika Shule za sekondari

5,000,000

12

 

Umaliziaji wa Nyumba moja Mwalimu Kihesa

10,000,000

13

 

Utengenezaji wa madawati kwa Shule za Sekondari

5,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

180,000,000

14

AFYA 

Ujenzi wa Wodi 1  katika hospitali ya Frelimo

50,000,000

15

 

Uendelezaji wa Ujenzi wa kituo cha afya mkimbizi

25,000,000

16

 

Utapanuzi wa jengo la wagonjwa wa nje katika zahanati ya njiapanda

15,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

90,000,000

17

MAENDELEO YA JAMII

Kutoa mikopo kwa vikundi 100 vya kiuchumi vya Wanawake, Vijana na Walemevu

298,829,800

 

 

JUMLA NDOGO

298,829,800

18

UTAWALA 

Ukarabati  na ujenzi wa ofisi za kata Mwangata, Kitwiru, Ruaha, Igumbilo, Mkwawa, Mtwivila

         30,000,000

19

 

Ujenzi wa Nyumba 2 za Wakuu wa Idara

         30,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

         60,000,000 

20

FEDHA NA BIASHARA

Ujenzi/uboreshaji wa ukumbi wa sherehe na mikutano eneo la welfare kitanzini

         90,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

         90,000,000 

21

MIPANGO

Uzalishaji wa Tofali za block

         60,168,900

22

 

LAAC, Bajeti, Maandiko

         47,320,500

23

 

Timu Viwanda

         4,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

111,489,400





24

KILIMO NA MIFUGO

Maonesho ya nanenane

         40,000,000

25

 KILIMO

Kitalu nyumba

         10,000,000

26

MIFUGO NA UVUVI

Uanzishaji wa mradi wa Samaki Bwawa la kihesa Kilolo

9,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

         50,000,000 

27

MAZINGIRA

Kuwezesha kufanya tathimini ya athari za kimazingira ya eneo jipya la dampo Mkoga Isakalilo

11,000,000


 

JUMLA NDOGO

11,000,000

28

UJENZI

Ukarabati, matengenezo na uendeshaji wa miundombinu ya umma (O & M)

         10,000,000

 

 

JUMLA NDOGO

         10,000,000 


MIPANGOMIJI


 

29

MIPANGO MIJI

Kuandaa michoro ya mipango miji 10 kwa kurasimisha Mitaa 5 na kufanya upangaji wa maeneo kwa njia shirikishi katika Mitaa 2  ifikapo Juni 2022

4,500,000

30




31

UPIMAJI NA RAMANI

Kupima viwanja 1,750 ifikapo Juni 2022

13,000,000





32

UTHAMINI

Kufanya uthamini na uhakiki wa maslahi ya wananchi ili kutwaa eneo la ekari 32  Mtaa wa Mkoga  ifikapo Juni 2022

2,000,000

33

USIMAMIZI WA ARDHI

Kutwaa na kulipa fidia eneo la ekari 32 kwa ajili ya upimaji wa viwanja 1,750  ifikapo Juni 2022

70,500,000


UTALII

Uendelezaji wa Eeneo la utalii Tungamalenga

6,000,000



JUMLA

96,000,000

 

 

JUMLA KUU

1,201,319,200

  •  
  •  
  •  
  • MIRADI YA FEDHA ZA MFUKO WA PAMOJA WA AFYA (HSBF)

NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI / MRADI

MAKISIO



CHMT


1

AFYA
Udumavu wa watoto unapungua kutoka 51% mpaka 40.8% ifikapo Juni 2024
Kufanya tathimini ya lishe kwa watoto katika shule za awali zilizopo pembezoni ifikapo juni 2022

1,840,000

2

AFYA

Kufanya mkutano wa bodi za shule za msingi kuhusu uboreshaji wa mpango wa chakula mashuleni ifikapo juni 2022

600,000

3

AFYA
Maambukizi mapya ya UKIMWI yanapungua kutoka 9.1% mpaka 7% ifikapo Juni 2024
Kufanya maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ifikapo juni 2022

1,500,000

4

AFYA

Kufanya vikao vya kila robo mwaka kwa watoa huduma kuhusu huduma za ukimwi ifikapo juni 2022

1,500,000

5

AFYA

Kutoa huduma za ukimwi kwa njia ya mkoba katika maadhimisho ya siku za kitaifa ifikapo juni 2022

800,000

6

AFYA
Kiwango cha matatizo ya macho kinapungua kutoka 7% hadi 6% ifikapo Juni 2024
Kufanya uchunguzi wa macho kwa watu waishio pembezoni manispaa ya Iringa ifikapo juni 2022

1,500,000

7

AFYA
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia  10% ifikapo Juni 2024
Kuadhimisha siku ya wauuguzi duniani ifikapo juni 2022

1,500,000

8

AFYA

Kufanya ziara za usimamizi elekezi kwa watumishi katika vituo 10 vya kutolea huduma za afya ifikapo juni 2022

10,000,000

9

AFYA

Kuandaa mpango kabambe wa afya  kwa mwaka wa fedha 2022/2022 ifikapo juni 2022

10,000,000

10

AFYA

Kuandaa mpango wa awali  wa afya  kwa mwaka wa fedha 2022/2022 ifikapo juni 2022

5,728,600

11

AFYA

Kufanya vikao vya kila mwezi kwa timu ya usimamizi wa shughuli za afya za Manispaa ifikapo juni 2022

6,000,000

12

AFYA

Kununua mafuta kwaajili ya kusambaza dawa,kufanya usimamizi elekezi na huduma za rufaa kwa wagonjwa ifikapo Juni 2022

9,500,000

13

AFYA

Kuandaa na kuwasilisha taarifa  ya utekelezaji ya kila robo ifikapo juni 2022

5,500,000

14

AFYA

Kufanya matengenezo ya magari 3 na pikipiki 4 ifikapo juni 2022

10,950,241

 
 
 
JUMLA HSBF CHMT

66,918,841



HOSPITALI


1

AFYA
Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vitendanishi na chanjo unaongezeka kutoka 90% mpaka 95% ifikapo Juni 2024
Kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi kwa ajili ya Hospitali ya FRELIMO ifikapo juni 2022

32,582,172.8

2

AFYA
Vifo vitokanavyo na uzazi vinapungua kutoka 332/100,000 hadi 329/100,000 ifikapo Juni 2024
Kufanya kampeni ya utoaji wa Vitamini A na dawa za minyoo kwa watoto ifikapo juni 2022

5,000,000

3

AFYA
Kiwango cha matatizo ya macho kinapungua kutoka 7% hadi 6% ifikapo Juni 2024
Kufanya kikao cha uhamasishaji kuhusu huduma za macho ifikapo juni 2022

1,700,000

4

AFYA
matatizo ya afya ya kinywa na meno yan apungua kutoka 8% hadi 5% ifikapo Juni 2024
Kununua vifaa tiba kwa ajili ya huduma ya huduma ya kinywa na meno

4,000,000

5

AFYA

Kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa na meno kwa wanafunzi wa shule za msingi ifikapo juni 2022

2,800,000

6

AFYA
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia  10% ifikapo Juni 2024
Kuandaa mpango wa awali  wa Hospitali ya FRELIMO  kwa mwaka wa fedha 2022/2022 ifikapo juni 2022

2,400,000

7

AFYA

Kusambaza dawa,vifaa tiba na chanjo kila mwezi katika vituo 31 vya afya  ifikapo juni 2022

5,052,900

 


 
JUMLA HSBF HOSPITALI

53,535,072.8



VITUO VYA AFYA


1

AFYA
Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vitendanishi na chanjo unaongezeka kutoka 90% mpaka 95% ifikapo Juni 2024
Kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi kwa ajili ya Vituo vya afya ifikapo juni 2022

51,972,091

2

AFYA
matatizo ya afya ya kinywa na meno yan apungua kutoka 8% hadi 5% ifikapo Juni 2024
Kununua vifaa tiba kwa ajili ya huduma ya afya ya kinywa na meno ifikapo juni 2022

6,896,750

3

AFYA
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia  10% ifikapo Juni 2024
Kuchapisha na kusambaza vitabu vya kutolea taaifa za MTUHA kwa vituo 31 ifikapo juni 2022

5,000,000

4

AFYA

Kununua kompyuta mpakato kwa jili ya kutunzia kumbukumbu za watumishi ifikapo juni 2022

2,000,000

5

AFYA

Kuwajengea uwezo watoa huduma kuhusu uaandaji wa taarifa za MTUHA ifikapo juni 2022

1,050,000

 

 
 
JUMLA HSBF VITUO VYA AFYA

66,918,841



ZAHANATI


1

AFYA
Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vitendanishi na chanjo unaongezeka kutoka70% mpaka 80% ifikapo Juni 2024
Kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi kwa ajili ya Zahanati 7 ifikapo juni 2022

52,093,114

2

AFYA
Vifo vitokanavyo na uzazi vinapungua kutoka 332/100,000 hadi 329/100,000 ifikapo Juni 2024
Kutoa huduma ya chanjo kwa njia ya mkoba kila mwezi ifikapo juni 2022

8,509,495

3

AFYA
Kupunguza magonjwa yaliokua hayapewi kipaumbele kutoka 12% hadi 9% ifikapo Juni 2024
Kufanya usimamizi elekezi wakati wa zoezi la utoaji wa dawa ya magonjwa yaliokua hayapewi kipaumbele ifikapo Juni 2022

2,000,000

4

AFYA
Shughuli za utawala zinaboreshwa kwa asilimia  7% ifikapo Juni 2024
Kufanya usimamizi elekezi kwa kila mwezi katika vituo 31 vya kutolea huduma za afya ifikapo juni 2022

10,700,000

5

AFYA

Kufanya ukarabati mdogo wa zahanati 7 ifikapo Juni 2022

7,000,000

 

 
 
JUMLA HSBF ZAHANATI

80,302,609

 

 
 
JUMLA HSBF

267,675,364

  • MIRADI YA FEDHA ZA UNICEF

NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI / MRADI

MAKISIO

1

AFYA
Udumavu kwa watoto wenye umri wa miezi 0-59 unapungua kutoka asilimia 51.6% mpaka 40.6% ifikapo juni 2024
Kufanya mafunzo ya siku 5 kwa watoa huduma ya afya 50 juu ya ulishaji wa watoto wachanga na wadogo katika Vituo vya kutolea huduma za Afya 19 kufikia June 2022

2,000,000

2

AFYA

Kufanya mafunzo ya siku 3 kwa watoa huduma ya Afya 50 juu ya ufuatiliaji na ukuaji wa maendeleo ya mtoto na matumizi sahihi ya vipimo vya kutathmini hali ya lishe katika vituo 19 vya kutolea huduma za afya ifikapo June 2022

2,000,000

3

AFYA

Kufanya vikao vya robo vya kamati ya Lishe kufikia June 2022

1,000,000

4

AFYA

Kufanya ziara elekezi na usimamizi wa lishe juu ya utekelezaji wa afua za lishe ifikapo June 2022

1,000,000

5

AFYA

Kufanya vikao 2 vya Wadau wa lishe wa Manispaa kuangalia utekelezaji wa afua za lishe ifikapo June 2022

1,000,000

6

AFYA

Kufanya vikao vya kamati ya lishe kuhusu uhalali wa takwimu za lishe ifikapo 2022

1,000,000

 

 
 
JUMLA LISHE

8,000,000

1

AFYA
Usajili wa watoto wa umri chini ya umri 5 kwa ajili ya vyeti vya kuzaliwa unaongezeka kutoka 98% hadi 100% ifikapo  June 2024
Kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya usajili ifikapo June 2022

3,000,000

2

AFYA

Kufanya matengenezo ya vifaa vya mfumo wa uajili (ICT) ifikapo June 2022

500,000

3

AFYA

Kufanya ufuatiliaji na usimamizi elekezi katika vituo 52  vya usajili wa watoto kwa ajili ya vyeti vya kuzaliwa ifikapo June 2022

3,500,000

4



Kufanya kikao  cha tathmini ya usajili wa watoto ifikapo June 2022

3,000,000

 

 
 
JUMLA USAJILI WA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

10,000,000

1

AFYA
Ujuzi na stadi za kukabiliana na matukio ya ukatili,utelekezaji na unyonyaji wa watoto na wanawake kwa watoa huduma unaongezeka kutoka 65% mpaka 77% ifikapo juni 2024
Kuendesha mafunzo  kuhusu ulinzi na usalama wa watoto na wanawake kwa makundi mbalimbali (Walimu,wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama wa mtoto, Madaktari,Maafisa ustawi wa jamii, wanasheria,mahakimu na waendesha mashtaka wa serikali) ifikapo juni 2022

43,097,500

2

AFYA

Kuadhimisha wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto wakati wa siku ya mtoto wa afrika (16 juni) kwa kutembelea klabu za ulinzi na usalama wa mtoto zinazofanya vizuri ifikapo juni 2022

1,500,000

3

AFYA

Kuanzisha klabu za ulinzi na usalama wa mtoto katika shule tano teule za sekondari ifikapo juni 2022

3,300,000

4

AFYA

Kuendesha mafunzo ya malezi kwa makundi ya wazazi katika ngazi ya kata ifikapo juni 2022

5,640,000

5

AFYA
Ujuzi na stadi za kukabiliana na matukio ya ukatili,utelekezaji na unyonyaji wa watoto na wanawake kwa watoa huduma unaongezeka kutoka 65% mpaka 77% ifikapo juni 2024
Kuendesha kikao cha uraghibishi (Advocacy) kwa wajumbe wa timu ya menejimenti ya halmashauri (CMT) kuhusu mfumo mpya wa ulinzi na usalama wa watoto na wanawake ifikapo juni 2022

1,660,000

6

AFYA

Kuchapisha na kusambaza vipeperushi na mabango kuhusu maswala ya kisheria yahusuyo ulinzi na usalama wa watoto na wanawake ifikapo juni 2022

2,022,500

7

AFYA

Kuwezesha utoaji wa huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi na waliokatika ukinzano wa kisheria ifikapo June 2022

15,200,000

8

AFYA

Kuwezesha wanasheria wa manispaa kutembelea mahabusu ya watoto, mahakama na dawati la jinsia kwa ajili ya kutoa msaada wa kisheria kwa watoto waliokinzana na sharia ifikapo Juni 2022

653,000

9

AFYA

Kuwasaidia watoto 20 waliopo katika program ya huduma za utengemau (comminuty rehabilitation program) ifikapo Juni 2022

3,840,000

10

AFYA
Miundombinu ya ulinzi na usalama wa watoto inaboreshwa kutoka 70% hadi 90% ifikapo Juni 2024
Kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za  ulinzi na usalama wa watoto na wanawake (CP-MIS) ifikapo Juni 2022

6,760,000

 

 
 
JUMLA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO

83,673,000

 

 
 
JUMLA AFYA

101,673,000

1

ELIMU MSINGI
Ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kuongezeka kutoka 91% 2019 hadi 95% na darasa la nne kutoka 94% hadi 99% ifikapo Juni 2023
Kusaidia kutoa mafunzo ya elimu maalum kwa walimu 90 na maofisa Elimu kata 16 ifikapo Juni 2022

10,030,000

2

 

Kusaidia kutoa mafunzo ya Sara Redio programme kwa walimu wa madarasa 86 ifikapo Juni 2022
 

13,000,000

3

 

Kusaidia kutoa mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa kamati za shule ifikapo Juni 2022

3,000,000

4

 

Kusaidia kutoa mafunzo kwa walimu 86 wa S/M juu ya ushauri na nasaha ifikapo Juni 2022

14,000,000

 

 
 
JUMLA ELIMU MSINGI

40,030,000

1

MIPANGO
 
Kuwezesha ufuatiliaji na usimamizi wa shughuli za UNICEF

 

 

 
 
JUMLA MIPANGO

7,348,000

 

 
 
JUMLA UNICEF

149,051,000

  • MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO

NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

ELIMU MSINGI
Kuboresha utoaji na upatikanaji wa huduma bora kwa wanafunzi ifikapo Juni 2023.
Kuwezesha uwepo wa chakula cha wanafunzi kwa shule 3 za msingi 2 zikiwa zenye mchepuo wa elimu maalumu (Sabasaba na Ipogolo) na moja ni ya wenye ulemavu wa kuona (Viziwi), katika Halmashauri ya Manispaa ifikapo Juni 2022.

85,050,000

Kuwezesha upatikanaji wa ruzuku ya uendeshaji shule 43 za msingi ifikapo Juni 2022.

177,780,000.00

2

ELIMU MSINGI
Kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa elimu msingi ifikapo Juni 2023.
Kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa posho ya madaraka kwa  wakuu wa shule 43 wa shule za msingi ifikapo Juni 2022

100,800,000.00

Kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa posho ya madaraka kwa  maafisa elimu kata 16 ifikapo Juni 2022

48,000,000.00



 
JUMLA ELIMU BILA MALIPO

411,630,000

1
ELIMU SEKONDARI
Kuboresha utoaji na upatikanaji wa huduma bora kwa wanafunzi ifikapo Juni 2024.
Kuwezesha uwepo wa chakula cha wanafunzi kwa shule 4 za sekondari za bweni Lugalo, Tagamenda, Iringa Wasichana na Mawelewele katika Halmashauri ya Manispaa ifikapo Juni 2022.

774,900,000.00

2


Kuwezesha upatikanaji wa ruzuku ya uendeshaji shule za sekondari ifikapo Juni 2022.

135,850,000.00

3


Kuwezesha upatikanaji wa fidia ya ada kwa shule za sekondari ifikapo Juni 2022.

208,240,000.00

4

Kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa elimu sekondari ifikapo Juni 2024.
Kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa posho ya madaraka kwa  wakuu wa shule 14 wa shule za sekondari ifikapo Juni 2022

42,000,000.00



 
JUMLA ELIMU SEKONDARI

1,160,990,000



 
JUMLA ELIMU BILA MALIPO

1,571,990,000

  •  
  •  
  •  
  •  MIRADI YA RUZUKU MAENDELEO YA AFYA

NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

AFYA
Ukamilishaji wa wodi Zahanati ya Itamba
Kukamilisha ujenzi wa wodi katika zahanati ya Itamba ifikapo Juni 2022

50,000,000

2

AFYA
Ukamilishaji wa ujenzi wa  Zahanati ya Mgongo
Kukamilisha ujenzi wa zahanati ya  Mgongo ifikapo Juni 2022

50,000,000

 

 
 
JUMLA RUZUKU YA MAENDELEO 

140,000,000

 

  • 6.     MIRADI YA ELIMU KWA FEDHA ZA LIPA KULINGA NA MATOKEO (EP4R)

NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

ELIMU MSINGI

Ukamilishaji wa nyumba 2 za walimu katika shule ya msingi Ugele

50,000,000

2

ELIMU MSINGI

Ukamilishaji wa nyumba 1 ya mwalimu katika shule ya msingi Mkoga

25,000,000

3

ELIMU MSINGI

Ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya msingi Mawelewe

60,000,000

4

ELIMU MSINGI

Ukamilishaji wa vyumba 2 vya  madarasa katika shule ya msingi Mnazi mmoja

40,000,000

5

ELIMU MSINGI

Ukamilishaji wa matundu 10 ya vyoo katika shule ya msingi Ulonge

11,000,000

6

ELIMU MSINGI

Ukamilishaji wa matundu 13 ya vyoo katika shule ya msingi Kihesa

14,000,000

 

 
 
JUMLA ELIMU MSINGI

200,000,000

1

ELIMU SEKONDARI

Ukamilishaji wa maabara 1 katika shule ya sekondari Nduli

30,000,000

2



Ukamilishaji wa jengo la Utawala katika shule ya sekondari Kreluu

30,000,000

3



Ukamilishaji wa nyumba 1 ya mwalimu katika shule ya sekondari Mkwawa

25,000,000

4



Ujenzi wa matundu 10 ya vyoo katika shule ya sekondari Mkwawa

10,000,000

5



Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu katika shule ya sekondari Kihesa

25,000,000

6



Ujenzi wa hosteli 1 katika shule ya sekondari

80,000,000

 

 
 
JUMLA ELIMU SEKONDARI

200,000,000

 

 
 
JUMLA EP4R

400,000,000

  • MIRADI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO YA ELIMU


NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

ELIMU MSINGI

 

Ukamilishaji wa madarasa 2 katika shule ya msingi Mkoga

25,003,816

2

ELIMU MSINGI

 

Ukamilishaji madarasa 2 katika shule ya msingi Njiapanda

25,003,816

3

ELIMU MSINGI

 

Ukamilishaji madarasa 3 katika shule ya msingi Maendeleo

37,505,724

4

ELIMU MSINGI

 

Ukamilishaji darasa  1 katika shule ya msingi Igumbilo

12,501,908

5

ELIMU MSINGI

 

Ukamilishaji darasa  1 katika shule ya msingi Ilala

12,501,908

 

 

 

JUMLA ELIMU MSINGI
 

112,517,172

1

ELIMU SEKONDARI

 

Ukamilishaji wa maabara  katika shule za sekondari

180,000,000

 

 

 

JUMLA ELIMU SEKONDARI

180,000,000

 

 

 

JUMLA UKAMILISHAJI WA MABOMA

292,517,172


  •  
  •  
  • MIRADI YA KUCHOCHEA MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)


NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

MIPANGO

 

Kuchangia miradi iliyoibuliwa na kutekelezwa na wananchi

36,310,000

 

 

 

JUMLA CDCF

36,310,000


  •  
  • MIRADI YA FEDHA ZA TASAF


NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

M/JAMII

 

Kuwezesha utekelezaji wa mradi wa kunusuru kaya maskini

582,677,000

 

 

 

JUMLA TASAF

582,677,000


  •  
  • MIRADI YA FEDHA ZA GLOBAL FUND


NA

IDARA

LENGO MAHSUSI

SHUGHULI/MRADI

MAKISIO

1

AFYA

 

Kuwezesha utekelezaji shughuli za malaria na UKIMWI

4,052,000

 

 

 

JUMLA GLOBAL FUND

4,052,000


 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa