• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH, KASSIM MAJALIWA AMEWATAKA WANANCHI MKOA WA IRINGA KUJIKINGA NA MATUMIZUI YA MADAWA YA KULEVYA

Posted on: June 27th, 2018


 “Serikali ya awamu ya tano inaendelea kupambana na watu wanaojihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya madawa ya kulevya" haya yamesemwa na Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh,  Kassim Majaliwa katika maadhimisho  ya siku ya kupambana na madawa ya kulevya  ambapo Kitaifa  yamefanyika Mkoani  Iringa katika viwanja vya Kichangani.

Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Iringa katika maadhimisho  haya  Mh.Waziri  amewaasa kuacha kutumia dawa za kulevya kwani hupunguza uwezo kazi katika Taifa letu hasa kipindi hiki cha kasi ya viwanda

Aina ya madawa ya kulevya yanapatikana kwa uraisi ni  Bangi, Heroine na Cocaine ambapo hupelekea kudorora kwa nguvu kazi ya taifa hasa kwa vijana wa jinsia zote wenye umri kuanzia miaka kumi na tano hadi miaka arobaini na tano.

Aidha maadhimisho yaliongozwa na Kauli mbiu isemayo TUJENGE MAISHA YETU, JAMII YETU NA UTU WETU BILA MADAWA ZA KULEVYA

Mh. Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Iringa kwa maandalizi haya ya maadhimisho ya kupamabana na madawa ya kulevya .

Matangazo

  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATA YA NDULI MTAA WA KISOWELE February 13, 2019
  • TANGAZO KWA WAJASILIAMALI February 07, 2019
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE January 24, 2019
  • TANGAZO LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASILIAMALI/MACHINGA January 08, 2019
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • MKURUGENZI MANISPAA AWATAKA WALIMU WA SEKONDARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA ELIMU

    February 15, 2019
  • WATENDAJI MANISPAA YA IRINGA WATAKIWA KUSIMAMIA IPASAVYO MIRADI YA MAENDELEO

    February 13, 2019
  • MANISPAA YA IRINGA YAPONGEZWA KWA USIMAMIA VIZURI MIRADI YA MAJI

    February 12, 2019
  • KAMATI YA UCHUMI AFYA NA ELIMU YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2018/2019

    February 05, 2019
  • Soma zote

Video

KARIBU MAONYESHO YA UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Fomu za Maombi mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: mkurugenzi@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa