• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

WANANCHI WA MANISPAA YA IRINGA WASHAURIWA KUJENGA VYOO BORA VYA GHARAMA NAFUU

Posted on: July 5th, 2018


Wananchi katika Manispaa ya Iringa wameshauriwa kujenga vyoo bora vya gharama nafuu ili kuweza kutunza afya zao na kuepuka adha ya kutokuwa na vyoo na kuwekewa bendera nyekundu katika kaya zao.

Kauli hiyo imetolewa na Meya wa Manispaa ya Iringa Mheshimiwa Alex Kimbe katika hafla fupi ya kukabidhiwa choo bora cha gharama nafuu kutoka kwa Meneja wa Mradi wa ACRA, mradi wa Usafi Iringa bwana Joerg Henkel kilichojengwa mtaa wa Igeleke katika kata ya Mkimbizi.

Amesema choo hicho kilichojengwa eneo la makaburi mapya ya Igeleke,ni choo kwaajili ya matumizi ya jamii hasa ya wananchi wanaokuja kufanya shughuli za mazishi katika makaburi hayo, hivyo amewaomba wataalam wa Manispaa na watendaji wa Kata nyingine kuiga mfano wa vyoo hivyo ili kuwasaidia wananchi wasio na vyoo bora katika kata zao wajenge vyoo hivyo bora vya gharama nafuu.

Akisoma taarifa ya ujenzi wa choo hicho mtendaji wa kata ya Mkimbizi Bwana Mlole Ndwada amesema choo hicho kimegharimu kiasi cha shilingi 719,000/= ambapo kata imechangia gharama ya shilingi 92,000/= na mfadhili ambaye ni mradi wa Usafi Iringa amechangia kiasi cha shilingi 627,000/=.

Hafla  hiyo imehudhuriwa na Diwani wa Kata ya Mkimbizi MheshimiwaSeverin  Mtitu watendaji wa kata ya Mkimbizi wananchi pamoja na wafanyakazi kutoka mradi wa ACRA.

Matangazo

  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATA YA NDULI MTAA WA KISOWELE February 13, 2019
  • TANGAZO KWA WAJASILIAMALI February 07, 2019
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE January 24, 2019
  • TANGAZO LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASILIAMALI/MACHINGA January 08, 2019
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • MKURUGENZI MANISPAA AWATAKA WALIMU WA SEKONDARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA ELIMU

    February 15, 2019
  • WATENDAJI MANISPAA YA IRINGA WATAKIWA KUSIMAMIA IPASAVYO MIRADI YA MAENDELEO

    February 13, 2019
  • MANISPAA YA IRINGA YAPONGEZWA KWA USIMAMIA VIZURI MIRADI YA MAJI

    February 12, 2019
  • KAMATI YA UCHUMI AFYA NA ELIMU YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2018/2019

    February 05, 2019
  • Soma zote

Video

KARIBU MAONYESHO YA UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Fomu za Maombi mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: mkurugenzi@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa