• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MANISPAA YA IRINGA KUWEKA MKAKATI KUDHIBITI KUTOONGOZA KWA WANANCHI WALIOJENGA MLIMANI KWA KUWATAMBUA WALIOPO NA KUWAPA NAMBA ZA UTAMBULISHO WA NYUMBA ZAO

Posted on: November 14th, 2017


 Mkuu wa Wilaya ya Iringa,Mheshimiwa Richard Kasesela ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Iringa kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Manispaa ya Iringa, kuchukua sensa ya wananchi wote waliovamia na kujenga milimani ili kuweza kuwapatia namba za utambulisho na kudhibiti kutokutokea kwa uvamizi mwingine zaidi ya wale waliotambuliwa na kupewa namba.

 Mkuu huyo wa Wilaya ameahidi kufanya mkutano katika eneo hilo na kuahidi kuunda  kikosi kazi cha ulinzi katika eneo hilo ambacho kitasimamia kuangalia wananchi waliopo katika eneo hilo na kufanya wananchi wengine kutokuvamia milima hiyo. Mkutano huo wa hadhara wa mkuu wa Wilaya na wananchi waliojenga milimani utafanyika baada ya sense ya kujua nyumba zilizo milimani kukamilika. 

 Aidha Mkuu huyo wa Wilaya ametembelea eneo la makaburi  la igeleke na kuwataka wale wote walovamia eneo hilo  kupigwa faini na kutakiwa kutoka katika eneo hilo. 

 Milima na vilima vinatakiwa kutunzwa ili kutunza mazingira kwani kwa kukata miti na kujenga milimani husababisha ukame na zaidi  hufanya miundombinu ya maji  safi na maji taka kushindwa kuwapo hivyo kupelekea kusababisha magonjwa ya mlipuko na magonjwa ya tumbo kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTOLEWA KWA HATI ZA VIWANJA March 20, 2018
  • TANGAZO LA ARDHI February 21, 2018
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE January 31, 2018
  • Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili January 11, 2018
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • WATUMISHI MANISPAA YA IRINGA WAPEWA MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO

    April 20, 2018
  • KAMATI YA UCHUMI,AFYA,NA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, MANISPAA YA IRINGA

    April 19, 2018
  • MANISPAA YA IRINGA KUSAIDIA VIKUNDI KIUCHUMI

    April 13, 2018
  • KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA YAKAGUA SHUGHULI MAENDELEO MANISPAA YA IRINGA

    April 13, 2018
  • Soma zote

Video

Makala ya Ufugaji wa Nyuki Kitelewasi
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Fomu za Maombi mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: mkurugenzi@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa